KUANZISHWA CHUO CHA MAAFISA TABIBU-CLINICAL OFFICER(CO)

Tunawatangazia wananchi wote kuwa taasisi ya elimu ya afya Rubya (Rubya health Training Institute)RHTI itafungua chuo cha maafisa tabibu (Clinical officer CO) mwezi wa tisa 2015. Mafunzo yatachukua kipindi cha miaka mitatu.

Tunakaribisha maombi kwa wote waliomaliza kidato cha nne na sita na kufaulu masomo ya sayansi. Fomu za maombi zinapatikana chuoni hospitali ya Rubya, Chuo Cha Uuguzi na Ukunga Rubya na Chuo cha Maabara Rubya.

Mwisho wa maombi ni tarehe 15/08/2015

Kwa maelezo zaidi piga simu No: 0753195713, 0786537281,0783551841,075464792